У нас вы можете посмотреть бесплатно Ni nini maana ya Graphics Design?_ Ni mambo gani unazingatia kuiita kazi hii ni ya Graphics Design? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Naitwa Joel Kadaga, Creative Designer, by the way labda hii ilitakiwa kuwa video yangu ya kwanza kabisa kuapload katika chaneli hii, Wewe binafsi Unajibuje pale unapoulizwa Grapics Design ni nini? Unatofautishaje sanaa hii pamoja na nyingine, Ni mambo gan ya kuzingatia unapofanya au kuiita hii ni kazi Graphics? Wacha tuzungumze kuhusu hili. Binafsi niko poa kama uko poa bonyeza like ili kushow love na kuifanya video hii kuwafikia wengi zaidi, na kama hauko poa usjali hakikisha unafanya unachopenda ili ufurahie maisha kwasababu ukifanya unachopenda hutachoka. Subscribe kama hujafannya hivyo ili ujifunze zaidi kuhusu Graphics Design, Videography, Photography na Technology Bonyeza hapa Kupata Kozi zangu: https://app.gumroad.com/joemedia Jifunze Graphics Design na creative skills zingine kupitia skillshare: https://skl.sh/3CBASHU Support me on Patreon Page: https://bit.ly/3LtQwIV Download Free Music: (No Copyright): https://uppbeat.io?referral=joel-4zfn5 Follow me on Instagram: / joemediagro. . Facebook https://linktr.ee/joemediagroup_ Twitter: https://linktr.ee/joemediagroup_ Email: [email protected] 0:00 - Logo Reavel 0:04 - Intro 1:26 - Graphics Design? 2:26 - Nini maana ya Graphics? 4:29 - Nini maana ya Design? 5:25 - Nini maana ya Graphics Design? 7:01 - End screen