• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Sayansi darasa la nne _ mada ya kwanza_ kanuni za afya скачать в хорошем качестве

Sayansi darasa la nne _ mada ya kwanza_ kanuni za afya 2 недели назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Sayansi darasa la nne _ mada ya kwanza_ kanuni za afya
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Sayansi darasa la nne _ mada ya kwanza_ kanuni za afya в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Sayansi darasa la nne _ mada ya kwanza_ kanuni za afya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Sayansi darasa la nne _ mada ya kwanza_ kanuni za afya в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Sayansi darasa la nne _ mada ya kwanza_ kanuni za afya

Dhana ya kanuni za afya Kuzingatia kanuni za afya ni jambo la muhimu ili kudumisha ~afya bora. Afya bora ni hali ya kuwa imara kimwili na kiakili. -Ili kuwa na afya bora ni lazima kuzingatia kanuni za afya. Miongoni mwa kanuni hizo ni (i) kula mlo kamili (ii) kufanya mazoezi ya mwili. (iii) kuzingatia usafi wa mwili na mazingira. (iv) kuzingatia alama na taarifa muhimu katika mazingira. MLO KAMILI Mlo kamili ni mlo wenye virutubisho vyote vya chakula katika uwiano sahihi. Mlo kamili huundwa na vyakula kutoka katika makundi makuu matatu. (i)vyakula vya kuupa mwili nguvu. Vyakula hivyo vina virutubisho vya kabohaidreti au wanga. (ii) vyakula vya kujenga mwili vyenye virutubisho vya protini. (iii)vyakula vya kulinda mwili vyenye virutubisho vya vitamini na madini. Mlo kamili hutupatia virutubisho vyote muhimu ambavyo mwili unahitaji kwa uwiano sahihi. Umuhimu wa mlo kamili ni 🔹kuimarisha kinga ya mwili ili kuweza kupambana na magonjwa. Kielelezo kifuatacho kinaonesha mfano wa makundi makuu ya vyakula katika mlo kamili. Kazi ya kufanya namba 2 1. Bainisha vyakula mbalimbali vinavyopatikana katika mazingira yako. 2. Ainisha vyakula hivyo katika makundi makuu sahihi. (i)Vyakula vya kuupa mwili nguvu 🔹Vyakula vya kuupa mwili nguvu ni vyenye virutubisho vya wanga au kabohaidreti pamoja na mafuta. 🔹Vyakula vyenye kabohaidreti ni kama vile mahindi, viazi, mihogo, ndizi, wali na mkate. 🔹Vyakula vyenye mafuta ni kama vile nazi, karanga, mafuta na parachichi. Vyakula hivi huuwezesha mwili kuwa na uwezo wa kufanya shughuli mbalimbali zikiwemo kucheza, kulima na kutembea.Vilevile, mafuta husaidia kuupa mwili joto. Vyakula vya kujenga mwili 🔹Vyakula vya kujenga mwili ni vyenye virutubisho vya protini. 🔹Vyakula hivyo ni kama vile samaki, maziwa, nyama, mayai, njegere na maharage. Kazi ya vyakula hivi ni kujenga mwili na kuufanya ukue vizuri. Pia, vyakula hivi hutumika kutengeneza seli mpya ili kuchukua nafasi ya seli zilizozeeka au kufa. Picha ifuatayo inaonesha vyakula vya kujenga mwili Vyakula vya kulinda mwili Vyakula vya kulinda mwili ni vyenye vitamini na madini. Kazi ya vyakula vya madini 🔹Vyakula hivi husaidia kuimarisha afya na kuwezesha mwili kujikinga na magonjwa. 🔹Pia, husaidia kujenga na kuimarisha misuli na mifupa ya mwili. Vyanzo vya vyakula vya vitamini na madini Vitamini na madini hupatikana katika mbogamboga kama vile kabichi, sukumawiki, mchicha, biringanya na karoti. 🔹Pia, hupatkana katika matunda mfano papai, chungwa, parachichi, zabibu na embe. Maji Kazi za maji 🔹Maji si sehemu ya makundi makuu ya vyakula yanayounda mlo kamili. Hatahivyo, mwili huhitaji maji ya kutosha ili uweze kufanya kazi ipasavyo. Hii ni kwa sababu yana madini mbalimbali yanayosaidia mifumo ya mwili kufanya kazi vizuri. Kwa mfano, umengenywaji wa chakula na ufyonzwaji mzuri wa virututisho kutoka kwenye vyakula. Pia, maji husaidia kuondoa takamwili na sumu mwiini. Vilevile, maji husaidia kurekebisha joto la mwili.

Comments
  • Hisabati_ Marudio _ zoezi la tisa 7 месяцев назад
    Hisabati_ Marudio _ zoezi la tisa
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • ТВОРОГ ОПАСНЕЕ САХАРА? Эти 6 белковых продуктов взрывают инсулин | Что можно диабетикам 2 дня назад
    ТВОРОГ ОПАСНЕЕ САХАРА? Эти 6 белковых продуктов взрывают инсулин | Что можно диабетикам
    Опубликовано: 2 дня назад
  • Hisabati Maswali yanayohusu mzingo wa duara@francademy2405 1 год назад
    Hisabati Maswali yanayohusu mzingo wa duara@francademy2405
    Опубликовано: 1 год назад
  • HUZUNI! DADA WA TUNDU LISSU AFIKA MAHAKAMANI, ATEMA CHECHE BALAA, ATAKA AACHIWE, 9 часов назад
    HUZUNI! DADA WA TUNDU LISSU AFIKA MAHAKAMANI, ATEMA CHECHE BALAA, ATAKA AACHIWE, "SIO MUHAINI"
    Опубликовано: 9 часов назад
  • Hisabati darasa la saba: Marudio : NECTA 2018 swali la 27 - 32 @francademy2405 2 месяца назад
    Hisabati darasa la saba: Marudio : NECTA 2018 swali la 27 - 32 @francademy2405
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • КИШЕЧНИК ЗАРАБОТАЕТ КАК ЧАСЫ! Запор уйдет навсегда после 60 | Доктор рекомендует 4 дня назад
    КИШЕЧНИК ЗАРАБОТАЕТ КАК ЧАСЫ! Запор уйдет навсегда после 60 | Доктор рекомендует
    Опубликовано: 4 дня назад
  • Не делай так ! ОШИБКИ при выполнении ГИМНАСТИКИ Доктора Шишонина ! #здоровье #народнаямедицина 1 день назад
    Не делай так ! ОШИБКИ при выполнении ГИМНАСТИКИ Доктора Шишонина ! #здоровье #народнаямедицина
    Опубликовано: 1 день назад
  • Буревестник - Пародия на урок литературы в советской школе - Мультфильм 15 лет назад
    Буревестник - Пародия на урок литературы в советской школе - Мультфильм
    Опубликовано: 15 лет назад
  • Викторина на знания! ВЫ УМНЫЙ ИЛИ ГЛУПЫЙ? Тест на эрудицию 2 года назад
    Викторина на знания! ВЫ УМНЫЙ ИЛИ ГЛУПЫЙ? Тест на эрудицию
    Опубликовано: 2 года назад
  • Hisabati:Marudio_ zoezi la saba @francademy2405 8 месяцев назад
    Hisabati:Marudio_ zoezi la saba @francademy2405
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • როგორ გესაუბრება ღმერთი სინამდვილეში? (კარლ იუნგის საიდუმლო) 4 часа назад
    როგორ გესაუბრება ღმერთი სინამდვილეში? (კარლ იუნგის საიდუმლო)
    Опубликовано: 4 часа назад
  • Hisabati_ Marudio_ zoezi la 13 @francademy2405 6 месяцев назад
    Hisabati_ Marudio_ zoezi la 13 @francademy2405
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • Hisabati: Marudio_ zoezi la tatu @francademy2405 8 месяцев назад
    Hisabati: Marudio_ zoezi la tatu @francademy2405
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • Nerki MILCZĄ do samego końca. Nie przegap TYCH 11 OBJAWÓW. 1 день назад
    Nerki MILCZĄ do samego końca. Nie przegap TYCH 11 OBJAWÓW.
    Опубликовано: 1 день назад
  • 5 BADAŃ Medycznych, Których NIGDY Nie Zrobię PO 70. Roku ŻYCIA - Dr Piotr Król 2 дня назад
    5 BADAŃ Medycznych, Których NIGDY Nie Zrobię PO 70. Roku ŻYCIA - Dr Piotr Król
    Опубликовано: 2 дня назад
  • 🔥КАСПАРОВ поразил ПРОГНОЗОМ по концу ВОЙНЫ! Этот МОМЕНТ ВСЕ ИЗМЕНИТ: назвал главный КОЗЫРЬ Украины 10 дней назад
    🔥КАСПАРОВ поразил ПРОГНОЗОМ по концу ВОЙНЫ! Этот МОМЕНТ ВСЕ ИЗМЕНИТ: назвал главный КОЗЫРЬ Украины
    Опубликовано: 10 дней назад
  • Ну, погоди! Выпуск 20 9 лет назад
    Ну, погоди! Выпуск 20
    Опубликовано: 9 лет назад
  • ITAKULIZA! MAMA WA LISSU AZUA KIZAA ZAA MAHAKAMANI KESI YA UHAINI, ATAKA MWANAYE AACHIWE 9 часов назад
    ITAKULIZA! MAMA WA LISSU AZUA KIZAA ZAA MAHAKAMANI KESI YA UHAINI, ATAKA MWANAYE AACHIWE
    Опубликовано: 9 часов назад
  • DALSZY ROZWÓJ Z NIEMCAMI CZY USA? WIEMY KTO KUPUJE INPOST!NOWA AFERA W SEJMIE… 6 часов назад
    DALSZY ROZWÓJ Z NIEMCAMI CZY USA? WIEMY KTO KUPUJE INPOST!NOWA AFERA W SEJMIE…
    Опубликовано: 6 часов назад
  • Английский для детей. Английские глаголы. Как учить английские слова 4 года назад
    Английский для детей. Английские глаголы. Как учить английские слова
    Опубликовано: 4 года назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5