• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

AKAMATWA AKITOROSHA MADINI YA DHAHABU KILO 4.3 YENYE SAMANI YA MILIONI 562 KAHAMA скачать в хорошем качестве

AKAMATWA AKITOROSHA MADINI YA DHAHABU KILO 4.3 YENYE SAMANI YA MILIONI 562 KAHAMA 2 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
AKAMATWA AKITOROSHA MADINI YA DHAHABU KILO 4.3  YENYE SAMANI YA MILIONI 562 KAHAMA
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: AKAMATWA AKITOROSHA MADINI YA DHAHABU KILO 4.3 YENYE SAMANI YA MILIONI 562 KAHAMA в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно AKAMATWA AKITOROSHA MADINI YA DHAHABU KILO 4.3 YENYE SAMANI YA MILIONI 562 KAHAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон AKAMATWA AKITOROSHA MADINI YA DHAHABU KILO 4.3 YENYE SAMANI YA MILIONI 562 KAHAMA в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



AKAMATWA AKITOROSHA MADINI YA DHAHABU KILO 4.3 YENYE SAMANI YA MILIONI 562 KAHAMA

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imemkamata Mafanyabiasha wa Madini ya Dhahabu Devrat Kerai Mwenye asili ya andia ambaye ailikuwa akitaka kutorosha madini ya Dhahabu yenye jumla ya kilo 4.3 na thamani ya shilingi milioni 562 na kusababishia serikali pia kukosa mapato yake. Mfanyabiashara huyo Mwenye kumiliki Kampuni ya Nadoyo Mineral Trading Limited Dervat Kerai alikamtwa juzi katika nyunmba ya kulala wageni ya Niteshi Mji Kahama majira ya saa moja usiku na maafisa wa serikali ambao walikuwa wakifuatia nyendo zake baada ya kufanya tukio hilo. Hayo yalisemwa juzi na Waziri wa Madini wa Madini\ Anthon Mavunde wakati akiongea na Wanunuzi wa madini wa Madini ya Dhahabu katika soko kuu la Kahama na kuongeza kuongeza kuwa bado serikali inaendelea na uchunguzi ili kubaini wale wote ambao wanashirikiana nae katika suala zima la utoshaji madini. Mavunde alisema kuwa alisema kuwa serikali serikali ahiwezi kuvunmilia wale wote ambao wanajihusisha katika suala zima la utosahi madini na kuongeza kuwa ni bora wakawa wanafuata taratibu zote zilizowekwa ili waweze kufanya biasha biasahara hiyo kwa uhuru na haki bila ya kubugudhiwa Waziri Mavunde ambaye alikuwa njiani kuelekea katika ziara Mkoa wa Geita alisema kuwa wafanyabiashara ambao wamekuwa wakitorosha madini wamekuwa wakiikoseha Nchi kukosa mapato yake na kuongeza kuwa hali hiyo inafnya na mtandao mkubwa ambao kwa sasa serikali inaujua. Hata hivyo Waziri Mavunde alifurahishwa kuona katika soko la Madini ya Dhahabu katika Wilaya ya Kahama kundi kubwa linalofanya biashara hiyo kuwa ni vijana na kuhaidi Serikali kuwaunga mkono ili waweze kuwa wafanyafanyabiashara wakuwabwa katika siku za baadaye. “Ninafurahishwa na kukuta Wafanyabiashara wa madini ya Dhahabu katika Wilaya ya Kahama asilimia kubwa kuwa ni vijana ambao wamekuwa wakichangamkia uchumi wa wa madini, mmi nitakuwa pamoja na nyinnyi lengo kubwa ilikuwa ni kuhakikisha kuwa unakuwa wakubwa katika biashara hiyo”, Alisema Mavunde Waziri wa Madini. Aidha Waziri huyo wa Madini alisema Wafanyabiashara wa madini kwa sasa lazima wafutate sheria na taratibu za serikali katika kazi zao na kuongeza kuwa yule ambaye atakamatwa akitorosha madini serikali itafuta leseni zake zote katika maeneo yote ambayo nafanya kazi akianzia na kampuni hiyo ya Nadoyo Mineral trading Limited. Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita alisema kuwa Wilaya ya Kahama imekomaa katika utoroshaji wa Madini ya Dhahabu na kuongeza kuwa serikali kwa sasa imekuja upya na kuongeza kuwa serikali ya Tamzania ni moja, ukitorosha madini nui sawa na kuhujumu uchumi wan chi. Mhita alisema kuwa ukitorosha madini ni sawa na kuwakatisha tama wafanyabiasha wengine ambao wanafuata taratibu na sheria za nchi na kuwataka wengine waache tabia hiyo kwa serikali hitawafumbia macho ikiwa ni pamoja na kuwafikisha katika vyombo vya sheria. Nae Afisa Madini Mkazi Wilaya ya Kahama Jeremiha Hango aliiomba serikali kuhakikisha kuwa wale wote wafanyabiashara wanaokamatwa wakitorosha madini Nchini wanafutiwa leseni zao katika maeneo yote ambayo wanakuwa wakifanya biashara hiyo hapa nchini. Alisema kuwa katika Wilaya ya Kahama kuna soko moja la Madini lakini kuna vituo sita vya ununuzi na kuiomba serikali kuona njinsi ya kutatua matatizo makubwa yaliopo kwa wafanyabiashara wa madini ya mtu mmoja akifanya kosa katika sehemu moja leseni yake isimamishwe katika maeneo yote hapa nchini ambayo anamiliki. Hata Hivyo Mwenyekiti wa soko la Madini Wilaya ya Kahama Emanuely Kidenya alise ma kuwa wale wote ambao wamekuwa wakifanya makosa na wasio waminifu ni bora ndio wanaoleta changamoto kwa wafanyabiashara wa madini katika Wilaya ya Kahama. Aliendelea kusema kuwa kuwa biashara hivyo imekuwa na mnyororo mkubwa huku akisisiza kuwa wao kama wafanyabiashara wa dhahabu wapo tayari kutoa ushirikiano serikali ili kuwabaini wale wafanyabiashara wasio waaminifu ambao wamekuwa wakitorosha madini hayo ya dhahabu. KITUO KINACHO JIHUSISHA NA HABARI MBALIMBALI ZA KIJAMII NA KUELIMISHA UMMA KUHUSU MATUKIO YANAYO JIRI KILA WAKATI HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE CHANEL YETU USIPITWE NA TUKIO LOLOTE HAPA NCHINI ( Email: [email protected](+255752268249 / +255785537878)

Comments
  • Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa 6 лет назад
    Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Ուղիղ I  Սամվել Կարապետյանը ԱԱԾ մեկուսարանից տեղափոխվեց տուն Трансляция закончилась 20 часов назад
    Ուղիղ I Սամվել Կարապետյանը ԱԱԾ մեկուսարանից տեղափոխվեց տուն
    Опубликовано: Трансляция закончилась 20 часов назад
  • IBADA TAKATIFU YA MAZISHI YA MPENDWA WETU LUPPISINE LEONARD KACHEBONAHOKITWE - KYERWA - TANZANIA Трансляция закончилась 1 год назад
    IBADA TAKATIFU YA MAZISHI YA MPENDWA WETU LUPPISINE LEONARD KACHEBONAHOKITWE - KYERWA - TANZANIA
    Опубликовано: Трансляция закончилась 1 год назад
  • BILIONEA MTANZANIA ASIMULIA MAZITO ALIYOPITIA MGODINI, NIMECHIMBA NA HARMONIZE, NIMELALA MSITUNI 5 лет назад
    BILIONEA MTANZANIA ASIMULIA MAZITO ALIYOPITIA MGODINI, NIMECHIMBA NA HARMONIZE, NIMELALA MSITUNI
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Polisi feki waliokamatwa Dodoma, RPC Muroto akiwahoji maswali 7 лет назад
    Polisi feki waliokamatwa Dodoma, RPC Muroto akiwahoji maswali
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Հայլուր 20։30 Սամվել Կարապետյանի խափանման միջոցը փոխվեց Трансляция закончилась 22 часа назад
    Հայլուր 20։30 Սամվել Կարապետյանի խափանման միջոցը փոխվեց
    Опубликовано: Трансляция закончилась 22 часа назад
  • NJIA NYEPESI YA KUPATA DHAHABU KUANZIA JIWE 2 года назад
    NJIA NYEPESI YA KUPATA DHAHABU KUANZIA JIWE
    Опубликовано: 2 года назад
  • MFANYABIASHARA WA MADINI ATAPELIWA MILIONI 115 GEITA, AFUNGUKA BAADA YA KUTAPELIWA 1 год назад
    MFANYABIASHARA WA MADINI ATAPELIWA MILIONI 115 GEITA, AFUNGUKA BAADA YA KUTAPELIWA
    Опубликовано: 1 год назад
  • JPM alipohakiki mwenyewe dhahabu iliyokamatwa Kenya na kurudishwa Tanzania 6 лет назад
    JPM alipohakiki mwenyewe dhahabu iliyokamatwa Kenya na kurudishwa Tanzania
    Опубликовано: 6 лет назад
  • ALIYETOROSHA MADINI KAHAMA ABURUZWA MAHAKAMANI 2 года назад
    ALIYETOROSHA MADINI KAHAMA ABURUZWA MAHAKAMANI
    Опубликовано: 2 года назад
  • WIZARA YA MADINI YAZIFUTA RESENI ZA UTAFITI 74 ZENYE UKUBWA WA EKTA 700 AMBAZO AZIJAENDELEZWA 6 дней назад
    WIZARA YA MADINI YAZIFUTA RESENI ZA UTAFITI 74 ZENYE UKUBWA WA EKTA 700 AMBAZO AZIJAENDELEZWA
    Опубликовано: 6 дней назад
  • DC Chunya atembelea Mgodi wa Dhahabu unaomilikiwa na Familia, Mmiliki afunguka 7 лет назад
    DC Chunya atembelea Mgodi wa Dhahabu unaomilikiwa na Familia, Mmiliki afunguka
    Опубликовано: 7 лет назад
  • CHEKI JAMAA WALIVYO KAMATWA WAKITOROSHA DHAHABU NA BILIONI 305 CASH GEITA,,,, 6 лет назад
    CHEKI JAMAA WALIVYO KAMATWA WAKITOROSHA DHAHABU NA BILIONI 305 CASH GEITA,,,,
    Опубликовано: 6 лет назад
  • BALOZI wa TANZANIA KOREA AKANUSHA TAARIFA KUWA RAIS SAMIA AMEGAWA BAHARI na MADINI KISA MKOPO... 1 год назад
    BALOZI wa TANZANIA KOREA AKANUSHA TAARIFA KUWA RAIS SAMIA AMEGAWA BAHARI na MADINI KISA MKOPO...
    Опубликовано: 1 год назад
  • BITEKO ANASA WATOROSHAJI WA MADINI YA DHAHABU MWIME KAHAMA 5 лет назад
    BITEKO ANASA WATOROSHAJI WA MADINI YA DHAHABU MWIME KAHAMA
    Опубликовано: 5 лет назад
  • KAHAMA YAANZA KUDHIBITI UTOROSHAJI WA MADINI, SERIKALI KUJENGA UZIO SOKO KUU 2 года назад
    KAHAMA YAANZA KUDHIBITI UTOROSHAJI WA MADINI, SERIKALI KUJENGA UZIO SOKO KUU
    Опубликовано: 2 года назад
  • Pałac stawia warunki rządowi. 5 часов назад
    Pałac stawia warunki rządowi. "Nie będzie zgody prezydenta”
    Опубликовано: 5 часов назад
  • MWENYEKITI WA WACHIMBAJI WA DHAHABU AHAIDI KUANDAMANA KWA DC 4 года назад
    MWENYEKITI WA WACHIMBAJI WA DHAHABU AHAIDI KUANDAMANA KWA DC
    Опубликовано: 4 года назад
  • Fahamu kuhusu Uchomaji na Upimaji uzito na thamani ya Dhahabu 3 года назад
    Fahamu kuhusu Uchomaji na Upimaji uzito na thamani ya Dhahabu
    Опубликовано: 3 года назад
  • Czy Chiny szykują się na upadek Rosji? 22 часа назад
    Czy Chiny szykują się na upadek Rosji?
    Опубликовано: 22 часа назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5