У нас вы можете посмотреть бесплатно Suzan Lyimo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA (BAZECHA) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwenyekiti Mteule wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA), Susan Lyimo amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa baraza hilo. Akizungumza na David Wakarungi kupitia #MorningTrumpet, Susan ameweka wazi vipaumbele vyake katika kuwapambania wazee wa CHADEMA na taifa kwa ujumla, huku akieleza namna atakavyoshiriki kukisaidia chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu. Suzan ameshinda nafasi hiyo kwa ushindi wa asilimia 70, akipata kura 96 na kuwabwaga washindani wengine wanne, akiwemo mwenyekiti aliyemaliza muda wake Hashim Issa. Mhariri @abuuyusuftz