У нас вы можете посмотреть бесплатно E HABARI MARCH 10 2026/JUKWAA LA WATUMIAJI TANZANIA LASISITIZA WALAJI WAELIMISHWE HAKI ZAO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JUKWAA la Watumiaji Tanzania (TCF) limesema bado kuna umuhimu wa kuongeza elimu kwa wananchi kuhusu haki zao kama walaji ili kujenga mazingira salama ya matumizi ya bidhaa na huduma nchini. Hayo yamesemwa Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa TCF, Daudi Daudi, wakati akielezea kihusu maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani kwa mwaka 2026 yatakayofanyika Machi 15 jijini Tanga. Daudi amesema maadhimisho ya mwaka huu yanaongozwa na kaulimbiu isemayo "Bidhaa Salama, Watumiaji Wenye Kujiamini" (Safe Products, Confident Consumers) ambayo inalenga kuhimiza upatikanaji wa bidhaa na huduma salama zinazozingatia viwango vya ubora ili kuwawezesha watumiaji kufanya maamuzi sahihi.