У нас вы можете посмотреть бесплатно WASIORUDISHA FEDHA ZA MAREJESHO YA MIKOPO YA HALMASHAURI MAJINA YAO KUWEKWA HADHARANI TANGA JIJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga SPORA LIANA amevitaka vikundi vilivyo chukua mikopo ambao hutolewa na Halmashauri kwaajili ya wanawake vijana na watu wenye ulemavu kuleta marejesho ili Fedha hizo ziweze kuwanufaisha watu mengine. Liana ameyasema hayo wakati wa zoezi la utoaji mikopo iliofanyika katika Ofisi za Halmashauri hiyo huku mkuu wa Idara ya maendeleo ya Jamii Jiji la Tanga SIMON MNDENDE akibainisha kiasi cha mikopo iliyotolewa na Halmashauri hiyo.