У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 30.01.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Miongoni mwa tuliyokuandalia ++ Kiongozi wa chama cha upinzani cha DCP na aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua afanya mahojiano maalum na DW nyumbani kwake huko Karen na kuishutumu serikali ya Rais William Ruto juu ya usalama wake ++Chadema yasema imejitenga na kampeni ya ukusanyaji michango baada ya jehsi la polisi kutangaza kuwa limemkamata mwanachama mmoja kwa makosa ya kuiba michango ya kumsaidia Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lisu. ++ Israel imeirejesha miili ya Wapalestina 15 Ukanda wa Gaza Alhamisi, siku kadhaa baada ya kukabidhiwa mwili wa mateka wa mwisho kutoka kwenye ukanda huo #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.