У нас вы можете посмотреть бесплатно Kilimo cha Hoho za Rangi Ndani ya Screenhouse: Mkulima Afichua Faida Kubwa na Bei ya Sokoni! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🫑 Kilimo cha Pilipili Hoho za Rangi Ndani ya Screenhouse | Safari Yetu Kwa Mkulima Mzoefu Katika video hii tumetembelea mmoja wa wakulima waliobobea kwenye kilimo cha pilipili hoho za rangi zinazolimwa ndani ya screenhouse (greenhouse). Ametufundisha kwa kina kila hatua muhimu ya kilimo hiki kuanzia: 🌱 Uchaguzi wa mbegu bora 🏗️ Maandalizi ya screenhouse 🚿 Umwagiliaji sahihi 🦠 Udhibiti wa magonjwa na wadudu 📈 Fursa za masoko ⚠️ Changamoto anazokutana nazo na jinsi anavyozikabili Hii ni video ya kipekee kwa wakulima, wajasiriamali wa kilimo, na mtu yeyote anayependa kilimo cha kisasa chenye faida kubwa. 🔔 Subscribe ili upate video zaidi kama hizi kila wiki! 💬 Comment kama unayo swali au unataka kutembelea shamba hili. #KilimoBiashara #PilipiliHoho #GreenhouseFarming #KilimoChaKisasa #WakulimaTanzania #Agribusiness #KilimoChetu #HohoZaRangi #ScreenhouseFarming #SmartFarming #TanzaniaAgriculture