У нас вы можете посмотреть бесплатно CCM YAMVUA UANACHAMA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA CHATO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Na Yohana Shida GEITA: HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimeazimia kumvua Uwanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Chato na Diwani wa Kata ya Bwongera (CCM) Bathoromeo Manunga. Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Geita , Komredi Emmanuel Mnunke ametoa tarifa hiyo juzi na kueleza uamuzi huo umefikiwa Machi 06 , 2026 baada ya kikao kilichoketi ili kujadili tuhuma zinazomkabili. Mnunke aliwaambia waandishi wa habari kuwa Manunga alikuwa akituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo utovu wa Nidhamu sambamba na ukiukwaji wa sheria na kanuni za chama hicho. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09