У нас вы можете посмотреть бесплатно Bitchuka asema: Kuna kuimba, na kuzomea. Awasifia Shaban Dede na Muumin. Asema muimbaji ni lazima... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MUZIKI NA WANAMUZIKI inaendelea kutuletea habari za kazi iliyotukuka iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na mwanamuziki Mkongwe, Nguli na Mahiri kabisa nchini Tanzania Legendary na kipenzi cha wengi Hassan Rehani Bitchuka. Hapa Bitchuka a.k.a "Stereo" anatuelezea kuhusu nyimbo alizoimba akiwa na Bendi ya Mlimani Park Orchestra 'Sikinde Ngoma ya ukae'. Pia tunapata bahati ya kumsikia Bitchuka akitueleza kuhusu wanamuziki wenzake wa Sikinde walimchukuliaje na kwanini aliimbisha nyimbo nyingi sana pale Sikinde. Bitchuka anakiri kuwa katika wapiga Solo aliowahi kufanya nao kazi, Abel Baltazar analijuwa sana Gitaa na hakuwa mchoyo kuwaendeleza vijana. Hapa Bitchuka akiongea na "GUGO WA MUZIKI" Adam Zuberi, awamwagia sifa Shaban Dede na Muumin Mwimjuma. Anasema muimbaji ni lazima ukubali kufundishwa kwa sababu kuna kuimba na kuzomea, na anasema yeye yuko tayari kuwafundisha wale wataohitaji msaada wake. Ni matumaini ya channel hii ya MUZIKI NA WANAMUZI kuwa utaburudika vya kutosha pamoja na kuelimika vilivyo katika video hii. Kama utakuwa na swali, maoni, ushauri au hata ukosoaji, jisikie huru kutoa maoni yako ilimradi tu yasiwe ya matusi. Nasi tutajibu kadri tukavyoweza pale inapohitajika kujibu. Ili usipitwe na habari yoyote ile itakayotundikwa kwenye channel hii ya MUZIKI NA WANAMUZIKI, tafadhali click link ifuatayo ili uweze kuwa wa kwanza kujulishwa kuhusu habari mpya MUZIKI NA WANAMUZIKI / @muzikinawanamuziki Kwa habari zaidi za muziki wa Dansi: Fresh Jumbe YouTube / freshjmw Adam Zuberi Facebook https://www.facebook.com/profile.php?... Fresh Jumbe Facebook / akida.mtwana Website https://freshjumbe.com/