У нас вы можете посмотреть бесплатно WAKAZI WA MAKURO WASIMULIA UNDANI WA VISA VYA MGANGA ALIYEZIKA WATU KATIKA MAKAZI YAKE SINGIDA . или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakati jeshi la polisi mkoani singida likiendelea na uchunguzi wa kina juu ya tukio la mganga wa kienyeji nkamba subi ambaye maarufu kama adam anayetuhumiwa kuua na kufukia miili ya watu watatu katika kata ya makuro na kata jirani ya mdida halmashauri ya singida , kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo imetoa agizo kwa viongozi wa vijiji kuendelea kuwasajili wageni wanaoingia katika mkoa huo ,huku mwenyekiti wa kijiji hicho cha makuro jackson lissu akitokomea kusikojulikana . mlimba tv imefunga safari nakufika katika tarafa ya mtinko nakuzungumza na wananchi wa kata ya makuro na tarafa ya mtinko juu ya tukio hilo la kutisha kujua undani wa tukio hilo ,ambapo wameelezea vitimbi vya mganga huyo na genge lake jinsi walivyoacha huzuni kubwa katika kata hiyo na kata za jirani ,katika halshauri ya singida vijijini mkoani singida .