У нас вы можете посмотреть бесплатно E HABARI/RAIS DOKTA SAMIA KUZINDUA SOKO LA KARIAKOO FEBRUARI 8 MWAKA HUU/FEB 06 2026 BIASHARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RAIS wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara jijini Dar es salaam Februari 8 mwaka huu ambapo kupitia ziara hiyo anatarajia kuzindua soko la Kariakoo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa kwenye ujenzi Akizungumzia ziara hiyo ya Rais Dokta Samia jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa huo Albert Chalamila amesema soko hilo kwa sasa limekamilika kwa asilimia 100 ambapo zaidi ya shilingi bilioni 28 zimetumika kukarabati na kujenga soko hilo likiwa na takrinan vizimba zaidi ya 1,500 kwa ajili ya wafanyabiashara.