У нас вы можете посмотреть бесплатно E HABARI/MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA CCM/FEB 05 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaasa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kuhakikisha kwamba wanatimiza wajibu wa msingi na wa kudumu wa kuhakikisha CCM inakuwa chama cha Watanzania na kimbilio lao. Makamu wa Rais, amesema hayo wakati akiongoza Maadhimisho ya Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi, yaliyofanyika Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma, leo tarehe 05 Februari 2026. Amesema wakati CCM ikitimiza miaka 49 bado Watanzania wana imani na Chama hicho, imani iliyodhihirishwa kwa kuchaguliwa kuongoza Nchi.