У нас вы можете посмотреть бесплатно Mwamba wa kukimbilia - Rehearsal on 8th Feb 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Nimekukimbilia wewe nisiabikie initegee sikio lako uje uniokoe. Ee Mungu uwe kwangu mwamba wa kukimbilia ngome Imara yakuniokoa x2 Maana wewe ni mwamba wangu na ngome yangu kwa ajili ya jina lako uniongoze unichunge Ole wake mtu anayemtegemea mwanadamu aliyemfanya mtu kuwa tegemeo lake nao moyo wake umemwacha Bwana. Ni heri walio kamili katika njia zao, waendeao katika sheria ya Bwana heri wanaoshika mafundisho ya Mungu Heri yule mtu anayemtegemea Bwana Mungu, aliyeweka tumaini lake katika Bwana. Atakuwa kama MTI ulopandwa kando ya maji