У нас вы можете посмотреть бесплатно MFUMO WA UCHUMI KWA MUNGU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
✝️ MFUMO WA UCHUMI KWA MUNGU ✝️ Mungu ana mfumo wake wa kipekee wa kiuchumi, usiofungwa na hali za dunia. Mfumo huu unaleta baraka, wingi, na ustawi kwa kila mtu anayemwamini na kumtii. Katika ujumbe huu, utajifunza: ✅ Kanuni za kifalme za uchumi wa Mungu. ✅ Tofauti kati ya mfumo wa dunia na mfumo wa mbinguni. ✅ Siri za kukua kifedha kwa njia ya kiroho. ✅ Jinsi ya kuishi katika neema ya wingi bila kuathiriwa na hali ya uchumi wa dunia. 🌍 Mfumo wa dunia unaweza kuyumba, lakini mfumo wa Mungu ni wa milele na hauna ukomo. 📖 “Bali utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.” (Mathayo 6:33) 🔔 Subscribe kwa channel hii kwa mafundisho zaidi ya Neno la Mungu, uponyaji, na ukombozi. ❤️ Share ujumbe huu ili wengine pia wafunguliwe macho kuhusu mfumo wa kipekee wa kiuchumi wa Mungu.