У нас вы можете посмотреть бесплатно SABATO: AGANO LA BARAKA, UTAKASO NA USHINDI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika somo hili lenye nguvu, tunajifunza maana ya Sabato kulingana na Biblia na kwa nini Mungu aliitenga siku hii kuwa takatifu. Sabato si siku ya kawaida — ni ishara ya agano kati ya Mungu na watu wake, mlango wa baraka, utakaso na ushindi. Kupitia maandiko kutoka Kutoka, Mwanzo na Danieli, utaelewa: Kwa nini Mungu aliibariki na kuitakasa Sabato Sabato kama siku ya mapumziko na utakatifu Nguvu ya Sabato katika ibada na agano Mambo ya kutisha anayowatendea wanaotii Athari za kuipuuza Sabato Aina tano za ibada kulingana na Biblia Huu ni ujumbe wa kukujenga, kukuamsha na kukupeleka katika kiwango kipya cha mahusiano na Mungu. 📌 Tazama hadi mwisho upokee ufunuo kamili. 🙏 Usisahau Like, Comment, Subscribe & Share ili ujumbe uwafikie wengi. 🔖 HASHTAGS #Sabato #AganoLaBaraka #UtakasoNaUshindi #NenoLaMungu #Ibada #Ufunuo #CCG #Injili #YesuNiBwana #NenoLaUzima