У нас вы можете посмотреть бесплатно Waziri Ruku awaonya ODM dhidi ya kumezea mate wadhfa wa Kindiki или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Kiringa Ruku amewaonya wanachama wa ODM dhidi ya kumezea mate wadhfa wa mgombeaji mwenza wa Rais Ruto katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza kaunti ya kwale Ruku amebaini kuwa Kindiki ameonyesha uwezo wake wa kufanya kazi na Rais Ruto na hatang'atuka kutoka wadhfa huo, na ikiwa ODM wanataka unaibu wa rais basi watakuwa mgombea mwenza wa Profesa Kindiki akiwania urais mwaka wa 2032.