• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI скачать в хорошем качестве

MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI 10 месяцев назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI

Makosa ya KIPESA Unayopaswa Kuepuka ili Kujenga Uhuru katika uchumi wako binafsi na maisha yako ya kifedha. Jifunze zaidi na Michael Kamukulu kupitia ‪@lenzi.michaelkamukulu‬ "Utajiri wa kweli hauji kwa bahati, unajengwa kwa maamuzi sahihi ya kifedha na nidhamu thabiti." Katika video hii, tunajadili makosa ya kifedha ambayo watu wengi hufanya bila kujua na jinsi ya kuyakwepa ili kuimarisha hali ya kifedha kwa muda mrefu. Inawezekana ni katika kuanzisha biashara, matumizi ya familia, matumizi binafsi hata katika kuweka akiba na kufanya uwekezaji. Mafanikio kifedha ni matokeo ya tabia ya mtu husika katika kutafuta na kupata pesa, kuitunza, kuilinda na kuongeza thamani na uzalishaji wake kifedha. Moja ya makosa makubwa ni kutegemea mikopo kama njia ya kuendesha maisha ya kila siku kwenye vitu vya kawaida. Mikopo ya kimaendelea, hasa kwenye biashara ni muhimu na inashauriwa kwa wale wanaotafuta maendeleo, lakini tahadhari kubwa inabidi iwepo hasa kwenye ufahamu, nidhamu, mienendo na tabia ya mhusika kwenye maisha yeake ya kifedha. Watu wengi hujikuta wakikopa ili kugharamia matumizi ya kila siku badala ya kuwekeza kwenye vyanzo vya mapato. Kutegemea mikopo bila mpango mzuri wa urejeshaji kunaweza kusababisha mzigo wa madeni usioisha na kuzuia maendeleo ya kifedha. Pia, ni muhimu kuhakikisha kuwa matumizi yako hayazidi kipato chako. Watu wengi huanguka kwenye mtego wa kutumia zaidi ya wanavyoingiza, jambo ambalo huwasukuma kwenye madeni au uhaba wa fedha. Hii inahusiana na sheria ya kifedha inayojulikana kama Parkinson’s Law, ambayo inaeleza kuwa matumizi ya mtu yanaongezeka kulingana na kipato chake. Bila nidhamu, mtu anapopata kipato kikubwa, anaongeza matumizi badala ya kuwekeza au kuweka akiba, na matokeo yake ni kwamba hana uhuru wa kifedha licha ya kuwa na mapato makubwa. Makosa mengine yanayowakwamisha wengi ni kutafuta utajiri wa haraka. Watu huvutiwa na mipango ya kupata pesa kwa muda mfupi, mara nyingi kupitia miradi isiyo na msingi thabiti, ulaghai wa kifedha (scams), au hata uwekezaji wa hatari bila uelewa wa kutosha. Utajiri wa kudumu haujengwi kwa njia za mkato bali kwa nidhamu, uvumilivu, na maamuzi sahihi ya kifedha. Katika video hii, utajifunza kwa kina jinsi ya kuepuka makosa haya na kujenga msingi imara wa kifedha unaoweza kukupa uhuru wa kweli wa kiuchumi. 🔥 Tazama video hii hadi mwisho ili kufahamu mbinu za kuboresha usimamizi wa fedha zako! 🔥 Usisahau ku-LIKE, KUSHARE, na KUSUBSCRIBE kwa mafunzo zaidi! Na muhimu zaidi, tuambie kwenye comments ni makosa gani ya kifedha umewahi kufanya au unayoyaona kwa wengine! *** Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Pata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku. ——————————————— Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo: 1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching) 2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching) 3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development) Mawasiliano yetu: Simu: +255 752 465 039 Baruapepe: lenzimindset@gmail.com * * Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk #HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy Time stamp 00:00 Makosa ya kifedha ya kuepuka 00:14 Usitegemee mikopo 01:06 Matumizi yasizidi kipato 01:48 Usiendeshwe na hisia 02:20 Usitafute utajiri wa haraka 03:03 Usipuuze fursa 03:36 Usitegemee kipato kimoja 04:29 Usikose Mipango na Matumizi 05:16 Usikose Mpango wa kustaafu 06:29 Weka mkazo juu ya elimu ya fedha 07:14 Usipuuze elimu Kodi 07:55 Usikose Akiba 08:53 Usichelewe Kuwekeza 09:30 Closing

Comments
  • NJIA 10 BORA ZA KUDHIBITI MATUMIZI YA PESA YAKO | Michael Kamukulu (LENZI) 11 месяцев назад
    NJIA 10 BORA ZA KUDHIBITI MATUMIZI YA PESA YAKO | Michael Kamukulu (LENZI)
    Опубликовано: 11 месяцев назад
  • MADHARA YA KUTANGULIZA HURUMA KWA WATU | LENZI - Michael Kamukulu 8 месяцев назад
    MADHARA YA KUTANGULIZA HURUMA KWA WATU | LENZI - Michael Kamukulu
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • Makosa 7 Yanayotia Hasara Wanaoanza Biashara Ya Airbnb Tanzania (Na Namna ya Kuepuka) 8 месяцев назад
    Makosa 7 Yanayotia Hasara Wanaoanza Biashara Ya Airbnb Tanzania (Na Namna ya Kuepuka)
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini 6 месяцев назад
    Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako - Joel Nanauka 3 года назад
    Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako - Joel Nanauka
    Опубликовано: 3 года назад
  • NJIA RAHISI ZA KUJENGA VYANZO VINGI VYA MAPATO KWA HARAKA | CFE. Victor Mwambene. 9 месяцев назад
    NJIA RAHISI ZA KUJENGA VYANZO VINGI VYA MAPATO KWA HARAKA | CFE. Victor Mwambene.
    Опубликовано: 9 месяцев назад
  • NGUVU YA AKIBA: Hatua Muhimu Katika Kuweka Akiba Salama Ya Kifedha | Michael Kamukulu 10 месяцев назад
    NGUVU YA AKIBA: Hatua Muhimu Katika Kuweka Akiba Salama Ya Kifedha | Michael Kamukulu
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • MAKOSA YA KIPESA YA KUEPUKA - JOEL NANAUKA 3 года назад
    MAKOSA YA KIPESA YA KUEPUKA - JOEL NANAUKA
    Опубликовано: 3 года назад
  • HII NDIO SIRI YA UTAJIRI WA CHIEF GODLOVE, HAKUNA UCHAWI, ATOA UFAFANUZI MKUBWA 10 месяцев назад
    HII NDIO SIRI YA UTAJIRI WA CHIEF GODLOVE, HAKUNA UCHAWI, ATOA UFAFANUZI MKUBWA
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA.... 5 лет назад
    HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA MATATU HAYA....
    Опубликовано: 5 лет назад
  • ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO 1 год назад
    ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO
    Опубликовано: 1 год назад
  • Nidhamu Binafsi: Siri ya Watu Waliofanikiwa Kifedha na Kimaisha. 1 год назад
    Nidhamu Binafsi: Siri ya Watu Waliofanikiwa Kifedha na Kimaisha.
    Опубликовано: 1 год назад
  • Jinsi ya Kuendelea na Maisha Baada ya Kuachwa na Watu | Michael Kamukulu 10 месяцев назад
    Jinsi ya Kuendelea na Maisha Baada ya Kuachwa na Watu | Michael Kamukulu
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • Jinsi ya Kuanza Biashara Bila Mtaji wa PESA | Michael Kamukulu 10 месяцев назад
    Jinsi ya Kuanza Biashara Bila Mtaji wa PESA | Michael Kamukulu
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • Jinsi ya Kupata Upya Mwelekeo wa Maisha Yako | Michael Kamukulu 9 месяцев назад
    Jinsi ya Kupata Upya Mwelekeo wa Maisha Yako | Michael Kamukulu
    Опубликовано: 9 месяцев назад
  • LIFE WISDOM: MAENEO TISA YA KUWEKEZA LEO - JOEL NANAUKA 11 месяцев назад
    LIFE WISDOM: MAENEO TISA YA KUWEKEZA LEO - JOEL NANAUKA
    Опубликовано: 11 месяцев назад
  • IJUE THAMANI YAKO KABLA DUNIA HAIJAKUAMBIA WEWE NI NANI | GABO ZIGAMBA &  MICHAEL KAMUKULU - LENZI 5 месяцев назад
    IJUE THAMANI YAKO KABLA DUNIA HAIJAKUAMBIA WEWE NI NANI | GABO ZIGAMBA & MICHAEL KAMUKULU - LENZI
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • Makosa 7 Ya Kuepuka Unapofanya Mauzo 5 лет назад
    Makosa 7 Ya Kuepuka Unapofanya Mauzo
    Опубликовано: 5 лет назад
  • JINSI YA KUWA NA UHURU WA KIFEDHA (Ijue Misingi ya PESA, MAISHA & MAFANIKIO) 10 месяцев назад
    JINSI YA KUWA NA UHURU WA KIFEDHA (Ijue Misingi ya PESA, MAISHA & MAFANIKIO)
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • Usipotezwe na Sauti za Watu - Zingatia Kinachosemwa 9 месяцев назад
    Usipotezwe na Sauti za Watu - Zingatia Kinachosemwa
    Опубликовано: 9 месяцев назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5