У нас вы можете посмотреть бесплатно Mavunde azindua kiwanda cha kutengeneza vipuri na taili za magari или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tatizo la kukosekana kwa vipuri vya mitambo ya migodini na viwandani imepata suluhu baada ya Waziri wa Madini, Anthony Mavunde kuzindua kiwanda cha utengenezaji vipuri hivyo. Kwa sasa wachimbaji, wamiliki wa migodi na viwanda huagiza vipuri kutoka nje ya nchi hali ambayo inawafanya kutumia gharama kubwa ya ununuzi na usafiri lakini pia shughuli kukwama kwa muda mrefu pindi moja ya kifaa kikikosekana. Zoezi hilo pia likikuwa limeambatana na uzinduzi wa kiwanda kingine cha utengenezaji na uundaji taili za magari ambavyo vyote kwa pamoja vipo katika eneo moja na kumilikiwa na James Makanyaga. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa viwanda hivyo vilivyopo eneo la Nyamhongolo Manispaa ya Ilemela mkoani humo, Mavunde amewataka wadau wa madini na viwanda kuvitumia viwanda hivyo katika kuagiza na kununua vipuri vya mitambo yao ili kupunguza gharama kubwa ya kuagiza vitu kutoka nje ya nchi.