У нас вы можете посмотреть бесплатно Meli kubwa MV Mwanza 'HAPA KAZI TU' kushushwa majini или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Meli ya MV Mwanza “Hapa Kazi Tu” inayojengwa kwa gharama ya zaidi ya Sh109 bilioni itashushwa leo kwenye maji kwa ajili ya majaribio na kukamilisha ujenzi wake. Tukio hilo la kihistoria la kushushwa kwenye maji kwa meli hiyo inayojengwa katika Bandari ya Mwanza Kusini litaongozwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa huku likishuhudiwa na mamia ya wakazi wa Mwanza. Meli hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 1, 200, tani 400 za mizigo na magari 20 yakiwemo makubwa matatu inajengwa na mkandarasi kutoka Kampuni ya Gas Entec Ship-Building Engineering na Kang Nam Corporation za Nchini Korea kwa kushirikiana na Suma Jkt. Meli hiyo ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 82 huku ikitarajiwa kukamilika ifikapo Agosti, mwaka huu itafari zake kati ya atafanya safari zake kati ya Bandari za Mwanza, Kemondo, Bukoba, Portbail nchini Uganda na Kisumu nchini Kenya.