У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE SHABIBY: WEZI WA MALI ZA UMMA WANAJULIKANA, SERIKALI ICHUKUE HATUA.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby, ametoa kauli nzito bungeni wakati wa mjadala wa hotuba ya ufunguzi wa Bunge iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mbunge huyo amewataka watendaji wa Serikali kufanya kazi kwa weledi na uaminifu ili kumsaidia Rais Samia katika kulinda rasilimali za Taifa. Amesema wazi kuwa Watanzania wa sasa si wajinga, wanawajua watu wanaojihusisha na wizi na ubadhirifu wa mali za umma pamoja na mali walizonazo. Pia ameeleza kuwa baadhi ya watendaji kwenye vyombo vya usimamizi wameshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Kauli ya Mbunge Shabiby imeibua mjadala mkubwa kuhusu uwajibikaji, mapambano dhidi ya rushwa na uadilifu katika utumishi wa umma. Endelea kufuatilia #Mwanza digital kwa habari za uhakika za Bunge, siasa na matukio muhimu nchini Tanzania. 👍 Like 💬 Comment 🔔 Subscribe Mwanza digital 📤 Share