У нас вы можете посмотреть бесплатно #live или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RC MAKALLA AIPONGEZA AICC KWA HUDUMA YA UTALII WA MIKUTANO ARUSHA Bunge la IPU kufanyika Arusha ni Mchango wa Rais Samia kuiimarisha AICC kibiashara Aahidi kuteua baadhi ya wajumbe kamati za AFCON Kutoka AICC Ataka AICC jiandae na fursa za Mikutano wakati wa ujio wa Michuano ya AFCON 2027 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameipongeza Menejimenti na wafanyakazi wa Kituo cha Kimataifa cha mikutano Arusha (AICC) kwa mchango wake katika kukuza Utalii wa Mikutano na kuwezesha mkutano wa kimataifa wa Nchi 120 uliofanyika hivi karibuni, akisema anaamini kuwa wamejipanga kuhudumia Bunge la IPU litakalofanya mkutano wake October mwaka huu jijijini Arusha. Mhe. Makalla ametoa pongezi hizo leo Ijumaa Februari 06, 2026, wakati wa Kikao cha kawaida cha Baraza la Wafanyakazi wa Kituo hicho, akisema AICC imekuwa na mchango mkubwa pia katika kuutangaza Mkoa wa Arusha na Tanzania Kimataifa na kutaka kila mtumishi kuwajibika ipasavyo katika kutimiza malengo na maono ya serikali katika Kituo hicho. Amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuboresha utoaji wa huduma ikiwa ni pamoja na huduma za ukarimu na itifaki pamoja na kujikita katika matumizi ya teknolojia ili kuendelea kuvutia zaidi kufanyika kwa Mikutano katika Kituo hicho pamoja na kujiandaa na fursa zitakazokuwepo wakati wa Michuano ya Soka kwa Mataifa ya Afrika (AFCON 2027), baadhi ya michezo ikichezwa Jijini Arusha. Awali, Mkurugenzi Mkuu wa Kituo hicho Bi. Christine Mwakatobe amesema AICC kwasasa ina ithibati ya Kimataifa katika sekta ya Mikutano duniani, akisema mpango wao ni kuhakikisha wanaendelea kuboresha zaidi utoaji wa huduma na matumizi ya teknolojia Kituoni hapo, akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa msukumo wake na jitihada zake za kukuza diplomasia na mahusiano ya Kimataifa pamoja na kuimarisha amani, usalama na utulivu nchini. Ahsante kwa kuwa mwana familia,wa Smile Media, Subscribe like Commen Share. #binatv #DIAMOND PLATNUM #ALIKIBA #HARMONIZE @MANARA #MILLARD AYO #SIMULIZE NA SAUTI #MBENGOTV #BONGO TOUCH #PTV TANZANIA @NANDY #ZUCHU #MBOSSO #ZUCHU NA DIAMOND #RICK MEDIA #TREND VIDEO #BONGO 5 #BONGO 24 #S500 #SHOW YA DIAMOND #SHOW YA HARMONIZE #SHOW YA MBOSSO #SHOW YA ZUCHU #MANARA TV #BABA LEVO #MWIJAKU #DOTTO MAGARI #H BABA #EFM #CLOUDTV #UMBEA WA MJINI #BONGO TRENG #WEMA SEPETU #MAJABU YA DIAMOND #WASAFI #MBINGO TV #MIDDSIMBA #UDAKU