У нас вы можете посмотреть бесплатно TANZANIA YATOA MAJIBU YA HATUA ZAKE KUHUSU UCHAGUZI MKUU BARAZA LA HAKI ZA BINADAMU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetetea hatua zilizochukuliwa kulinda amani wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, ikisisitiza kuwa zilikuwa ndani ya mipaka ya sheria za nchi. Akizungumza katika kikao cha 61 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Geneva Machi 2, 2026, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini humo, Abdallah Possi, alisema serikali imesikitishwa na kauli za baadhi ya washirika wa kimataifa na mashirika ya haki za binadamu kuhusu matukio yaliyoambatana na uchaguzi huo.