У нас вы можете посмотреть бесплатно Jifunze UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI (LAYERS) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ufugaji wa kuku wa mayai katika Makala hii ya ufugaji wa hatua kwa hatua nitaelezea ufugaji wa kuku wa mayai kwa lengo la uzalishaji wa mayai kibiashara. Nimelenga ufugaji utakaomtoa mfugaji kutoa hatua moja kwenda nyingine na si ufugaji wa mazoea. Kuku wa mayai (Layers) ni kuku maalumu kwa ajili ya utagaji wa mayai na uleaji wake unapaswa uangaliwe kwa umakini tangu kifaranga kikiwa na siku moja na kuendelea hadi kuku anapofikia umri wa kuanza kutaga mayai na kuendelea. Ufugaji wa kuku wa mayai umegawanyika katika hatua tano kama inavyoonekana kwenye jedwali hapa Chini. Hatua hizi zimepangwa kwa kuangalia (1) ukuaji (2) Mahitaji ya nafasi kwenye nyumba na (3) Aina ya chakula anachotakiwa kupewa. Kwa kawaida kuku wa mayai huanza kutaga mayai wakifikisha wiki 18 hadi 20 na wataendelea kutaga mfululizo hadi watakapofikisha wiki ya 72 hadi 78. Wachache watafika wiki 120 kama inavyoonyeshwa kwenye jwadwali hapo juu. Katika mfuatano wa Makala hizi nitaelezea hatua zote za ukuaji wa kuku wa mayai na nini cha kufanya kwa #mkulimasmart #shambadarasa JIFUNZE KANUNI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA ... UFUGAJI WA KUKU:Jinsi ya kuaandaa chakula cha kuku na ... Uchanganyaji wa Chakula Cha Kuku wa Kienyeji - Kienyeji ... Mkulima atengeneza chakula cha kuku kutoka kwa mayai ya Nzi JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU NAMNA YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU-1 JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU WA ... Mchanganyiko wa Chakula cha kuku | njia rahisi ya kutengeneza chakula cha kuku wako (layers na ... bei ya kuku wa mayai faida za ufugaji wa kuku wa mayai ufugaji wa kuku wa mayai pdf aina za kuku wa mayai pdf ufugaji wa kuku wa mayai sehemu ya pili ufugaji wa kuku wa mayai chotara kuku wa mayai layers pdf biashara ya kuku wa mayai Jinsi ya Kutengeneza Chakula Cha Kuku. kutengeneza chakula cha kuku pdf ratiba ya chakula cha kuku wa kienyeji chakula cha kuku wa mayai chakula cha kuku sasso aina ya chakula cha kuku chakula cha kuku kulingana na umri chakula cha vifaranga wa kienyeji bei ya chakula cha kuku