У нас вы можете посмотреть бесплатно ZANZIBAR KESHO HAPATOSHI! JPM, Mama Samia, Makonda, Wameshawasili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Subscribe / uwazi1 MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA, SAMIA SULUHU ATINGA ZANZIBAR LEO Makamu wa rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili leo saa kumi jioni katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, akiwa ameambatana na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwa ajili ya kuhudhuria hafla mbili za kitaifa, kuhitimisha kilele cha Mwenge na kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha baba wa Taifa, Mwl Julius Nyerere, zikazofanyika kesho katika uwanja wa Amani uliopo katika mkoa wa Mjini Magharibi. Mama Samia na RC Makonda wamepokelewa na mwenyeji wao, mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ambaye aliwashukuru kwa kuwasili kwao Zanzibar na kuahidi kushirikiana nao katika shughuli ya kesho kikamilifu. subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .