У нас вы можете посмотреть бесплатно THE TREASURE'S VOICE TZ- USILIE, OFFICIAL VIDEO 2025. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
“USILIE, Mungu yupo anakuona. Wakati moyo umevunjika na hujui pa kuanzia, macho ya Bwana yanakutazama kwa huruma (Zaburi 34:18). Anajua maumivu yasiyo na sauti, huzuni iliyojificha ndani ya tabasamu, na maombi yasiyotamkwa kwa maneno. ‘Tazama, macho ya Bwana huwa juu yao wamchao, Wazingojeao fadhili zake.’ (Zaburi 33:18) Usikate tamaa – kilio chako si bure. Ameahidi kuwa hatakuacha wala kukupungukia (Waebrania 13:5). Na machozi yako yote ameyahifadhi, yako kwenye chupa yake (Zaburi 56:8). Kila uchungu una sababu, na kila machozi yana mwisho. Usilie Mungu yupo. Anakutazama, anakusikia, na zaidi ya yote anakupenda.” SONG CREDITS Artist: THE TREASURE'S VOICE TZ. Song: "USILIE" COMPOSER: AGABO STEPHANO (0613026395). AUDIO: IB PRO STUDIOZ (0692764808) VIDEO: JOSH SHOT IT. Video rights: Exclusively owned by The Treasure's Voice TZ, 2025 All rights reserved by THE TREASURE'S VOICE TZ , 2025. THANK YOU!