У нас вы можете посмотреть бесплатно TAZAMA ZIARA YA KIUTENDAJI KUJIONEA MAPOKEZI YA WANAFUNZI MUHULA MPYA 2026 KINKIMA - WILAYANI CHEMBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mtendaji wa kata ya Chukuru amefanya ziara ya kitendaji kwenye kijiji cha Kinkima katika shule ya msingi kinkima kwa lengo la kuona hali ya watoto kuripoti shuleni baada muhula mpya wa masomo kufunguliwa tarehe 13 Januari kwa darasa la awali na darasa la kwanza katika shule ya msingi Kinkima pamoja na kidato cha kwanza. Sambamba na hili amekagua hali ya ujenzi wa miundombinu ya kuwapokea wanafunzi wa muhula mpya katika shule ya msingi Kinkima, Pia amefanya Mkutano wa adhara na wananchi wa kijiji cha kinkima kwa lengo kuendelea kufanya uamasishaji kwenye swala zima la wazazi kuwapeleka watoto kuripoti shuleni pamoja na uchagiaji wa chakura mashuleni, Pia amewapongeza wazazi ambao wanajitoa kushiriki katika ujenzi wa miundombinu katika shule hiyo, Sambamba na hayo Mtendaji ameeleza kazi na mipango ya serikali kwenye swala zima la elimu kwenye kata ya churuku na kuonesha juhudi za serikali katika kuhakikisha kila mtanzania anapata huduma ya elimu kwa ukaribu. #chemba #subscribe #dodoma #kaliua #live #veta #2025 #elimu #news #polisi