У нас вы можете посмотреть бесплатно HATIMAYE MWILI wa NIMROD MKONO WAWASILI TANZANIA KUTOKA MAREKANI ALIKOFIA AKIPATIWA MATIBABU... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HATIMAYE MWILI wa NIMROD MKONO WAWASILI TANZANIA KUTOKA MAREKANI ALIKOFIA AKIPATIWA MATIBABU... Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama Mhe. Jumanne Sagini leo 27 Mei, 2023 ameongozana na Wanafamilia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wa aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Butiama Mkoani Mara, Nimrod Mkono ambaye mwili wake umewasili leo katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutokea Nchini Marekani ambapo alikuwa akipatiwa matibabu tangu mwaka 2018 na kufariki 18 Aprili, 2023. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx