У нас вы можете посмотреть бесплатно WASIRA asimulia mkasa mzima utata waliokutana nao kusafirisha Mwili wa NIMROD MKONO kutoka MAREKANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Mazishi, Stephen Wasira amesema wamekubana na chagamoto mbalimbali wakati wa kusafirisha mwili wa Nimrod Mkono kutoka Marekani hadi jijini Dar es Salaam Nchini Tanzania. Wasira amesema mbali na hayo, kesho Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atamuwakilisha Rais Samia katika kuongoza tukio la kitaifa la kuaga mwili wake ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Mkono aliyekuwa mbunge wa Musoma Vijijini (2005 - 2015) na baadaye Butiama (2015 - 2020) mkoani Mara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) alifariki Dunia Aprili 18, 2023 nchini Marekani alikokuwa akitibiwa tangu mwaka 2018. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #mbowe