У нас вы можете посмотреть бесплатно KAULI YA NAIBU MKUU WA CHUO (NIT) KUHUSU WANACHOPASWA KUFANYA WAHITIMU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KAULI YA NAIBU MKUU WA CHUO (NIT) KUHUSU WANACHOPASWA KUFANYA WAHITIMU NAIBU Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji Dkt. Prosper Mgaya amewataka wahitimu ambao wanaelimu ya ujasriamali kufika chuoni hapo kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali wanazozifanywa na baadhi ya wahitimu wa chuo hicho ambao wanataaluma ya ujasriamali na walijiingiza kwenye ujasriamali. Kauli hiyo ameitoa leo wakati wa ufunguzi wa maonesho ya kwanza yanayoendelea chuoni hapo yanayohusisha wanafunzi wajasriamali ili kuwaongezea wigo wa kuwa wafanyabiashara wakubwa badala ya kusubiria ajira. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list...