У нас вы можете посмотреть бесплатно TUNDURU WARIDHIA KUUZA UFUTA KILO 3,895 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakulima wa zao la ufuta Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wamefanya mnada wa pili wa zao la ufuta katika kijiji cha Molandi kata ya Marumba ambapo wameridhia bei ya shilingi 3,895 kwa kilo moja ya ufuta. Katika mnada huo Kampuni 15 zilishindanishwa na Kampuni nne kushinda kwa bei ya wastani ya shilingi 3,895 ambapo wakulima wameuza jumla ya kilo za ufuta 769,014 zilizowaingizia shilingi bilioni tatu Hata hivyo katika minada miwili ya ufuta iliyofanyika wilayani Tunduru kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani wakulima wameuza zaidi ya tani 1600 za ufuta zilizowaingizia shilingi bilioni 6.4