У нас вы можете посмотреть бесплатно HIZI NDIO BOOSTER 5 ZA KUFANYA KUKU WATAGE SANA BILA MADAWA YA GHARAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kama kuku wako wanapunguza mayai au hutagi kabisa, basi video hii ni ya muhimu sana! Leo nakuletea BOOSTER 5 za asili ambazo zimewasaidia wafugaji wengi kuongeza mayai bila kutumia madawa ya gharama. Hizi booster zinasaidia: ✅ Kuongeza nguvu ya uzalishaji ✅ Kuimarisha kinga ✅ Kuongeza hamu ya kula ✅ Kurekebisha homoni za kutaga ✅ Kupunguza msongo (stress) wa kuku BOOSTER ZITAKAZOPATIKANA KWENYE VIDEO: 1️⃣ Mchanganyiko wa Alovera 2️⃣ Kitunguu saumu 3️⃣ Karoti + Maji ya sukari 4️⃣ Moringa (mlonge) 5️⃣ Uji wa soya / dagaa / pumba laini ✅ Unachohitaji kufanya ni kufuata maelekezo kama yalivyo kwenye video. ✅ Zinafanya kazi kwa Layers, Chotara na Kienyeji wanaotaga. Kama unahitaji mwongozo wa dawa za asili, ushauri wa ufugaji au kutaka kujiunga na kundi la WhatsApp, wasiliana hapa👇 📞 0712 188 239 Karibu KingoFarm – tunafuga kisasa kwa gharama ndogo! --- ✅ TAGS (maneno ya kutafuta): KingoFarm, tiba za asili kwa kuku, kuongeza mayai kwa kuku, booster za kuku, chakula cha kuku wa mayai, jinsi ya kufuga kuku, faida za mlonge, ufugaji wa kuku kienyeji, kuongeza uzalishaji wa mayai, dawa za kuku, kuongeza mimba ya mayai, lishe ya kuku wa mayai, kuku kutaga sana, ufugaji wa biashara. --- ✅ HASHTAGS: #KingoFarm #UfungajiWaKuku #KukuKutaga #BoostersZaAsili #TibaZaKuku #MayaiMengi #KukuWaMayai #UfugajiWaKisasa