У нас вы можете посмотреть бесплатно CHALAMILA ATOA WIKI MOJA KWA WAPORAJI WA ARDHI KUREJESHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wiki moja kwa watu wote waliopora au kutapeli ardhi na mali za wananchi kuzirejesha mara moja, akionya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Chalamila alisema kumekuwepo na wimbi kubwa la migogoro ya ardhi linalosababisha malalamiko na kilio kwa wananchi, hali inayohitaji hatua za haraka za Serikali. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09