У нас вы можете посмотреть бесплатно UWEKEZAJI DP WORLD WAZIDI KUPAA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania ina kila sababu ya kujivunia uwekezaji wa sekta binafsi kwenye Bandari za Tanzania kwakuwa imeongeza mapato na kupunguza mzigo wa serikali kuhudumia bandari. "Mapato ya serikali kupitia kodi ya forodha yameongezeka kufika Sh trilioni 12.31 kwa mwaka 2024/2025 kutoka Sh trilioni 7.3 ya mwaka 2020/202," amesema Dk Samia. Rais Samia ameeleza hayo leo Machi 03 kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, wilayani Kigamboni. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09