У нас вы можете посмотреть бесплатно DK BASHIRU ABAINISHA MIKOPO KWA WAFUGAJI, VITUO 23 VYA MAZIWA VYAZINDULIWA BUKOBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KAGERA: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dk Bashiru Kakurwa, amezindua vituo 23 vya kukusanyia maziwa vilivyojengwa kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), na kuwataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya kuanza kutoa mikopo kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa pamoja na wafugaji wa samaki wa vizimba ili kukuza sekta hizo. Uzinduzi huo umefanyika katika wilaya za Bukoba, Muleba na Karagwe mkoani Kagera, ambapo Waziri Bashiru ameipongeza TADB kwa kuendelea kuwajali wafugaji na wakulima kwa kuwawezesha kuboresha uzalishaji wao. Akizungumza na wananchi, Waziri Bashiru amesema wakurugenzi wa halmashauri wanapaswa kuhakikisha wanatoa mikopo kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa na samaki wa vizimba ili kuwaondolea changamoto zinazowakabili na kuongeza tija katika uzalishaji Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09