У нас вы можете посмотреть бесплатно WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUZINGATIA MAMBO HAYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Idara ya Maendeleo ya Biashara, Sempeho Manongi, akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, amewataka wafanyabiashara na wadau wa soko nchini kujielimisha kuhusu sheria za ushindani ili kuepuka changamoto za kisheria zinazoweza kuathiri shughuli zao. Akizungumza Machi 3, 2026 wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau jijini Dar es Salaam, amesema uelewa wa sheria hizo ni msingi wa kulinda maslahi ya washiriki wa soko na kuchochea ukuaji wa uchumi jumuishi. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09