У нас вы можете посмотреть бесплатно TAKUKURU YAWAPANDISHA KIZIMBANI WABUNGE 2 NA MADIWANI 3 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Mkoa Geita imewapandisha mahakamani Wambunge wa jimbo la chato kaskazini na kusini pamoja na madiwani watatu kwa tuhuma za kujiuhusisha na vitendo vya Rushwa. Akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Geita James Ruge amesema wabunge waliofikishwa mahakamani ni wa jimbo la chato kaskazini Cornel Magembe, na chato kusini Pascal Lutandula Amesema kati ya terehe 28.11.2025 na terehe 30.11.2025 takukuru mkoa geita ilipokea taarifa ya uwepo wa vitendo vya rushwa vilivyofanywa na mhe Cornel Magembe mbunge wa chato kaskazini kwa kushirikiana na Frank leonad Francis aliyekuwa diwani mteule kata ya mganza ambapo uchunguzi ilithibitisha kuwa viongozi hao walikusanya madiwani wateule 20 wa halmashauri ya wilaya ya chato kwa lengo la kuwashawishi kwa hongo ili kupiga kura ya upendeleo kwa mgombea waliyemtaka katika nafasi ya mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato. Amesema kuwa kwa mhe pascal lutandula mbunge wa chato kusini, kwa kushirikiana na bartholomeo manunga aliyekuwa diwani mteule wa kata ya bwongera na josephat elias manyenye aliyekuwa diwani mteule kata ya bwera katika kuwania nafasi ya mwenyekiti wa halmashauri walituhumiwa kujenga ushawishi wenye vitendo vya rushwa kwa diwani mteule kata ya muungano njile Charles mboligo kwa kumpa hongo ili kujiondoa katika kinyang’anyiro cha uchaguzi ili kumpatia ushindi wa wazi ndgu bartholomeo manunga katika uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya chato. Kufuatia matukio hayo takukuru imesema ilianzisha uchunguzi na kubaini uwepo wa vitendo vya rushwa katika mchakato wa uchaguzi huo wa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya chato ndani ya chama cha mapinduzi ccm, na kulazimika kuchukua hatua za kisheria dhidi ya waliobainika kwa mujibu wa sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa