У нас вы можете посмотреть бесплатно JINSI YA KUISHI NA MTU MGUMU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kila mmoja wetu amewahi kuishi au kufanya kazi na mtu mgumu kama mkaidi, mkosoaji, mwenye hasira, au asiyejali. Tatizo si wao pekee — ni kukosa mbinu za akili za kuishi nao bila kupoteza amani yako. Katika video hii tunafundisha njia za kisaikolojia na za vitendo za kuishi na mtu mgumu bila kuchoka, kuumia, au kuharibikiwa na maisha. Utajifunza hapa: • Kwa nini baadhi ya watu ni wagumu kihisia • Makosa unayofanya yanayowafanya wawe wagumu zaidi • Mbinu za kuweka mipaka bila ugomvi • Jinsi ya kulinda amani yako bila kukimbia majukumu • Wakati wa kuvumilia na wakati wa kujiondoa Amani yako ni muhimu kuliko kushinda kila mjadala. Hakikisha una unabonyeza - Like, share & subscribe kwa mafunzo zaidi ya saikolojia ya maisha na mahusiano. Alafu, comment ni aina gani ya mtu mgumu unakutana naye mara nyingi? #Maisha #Mahusiano #WatuWagumu #Amani #Akili #Kujijenga #Maendeleo #Motisha #Hamasa #ElimuYaMaisha #Saikolojia #Mindset #EmotionalIntelligence #Boundaries #MentalHealth #PersonalDevelopment #LifeSkills #SelfControl #GrowthMindset #Psychology #LifeCoaching #HealthyRelationships #StressManagement