У нас вы можете посмотреть бесплатно NADHIRI || Kenhut Youth Choir (Official Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Video Produced by: Enovarts Creatives Director: Leyman Composed by: Sharon Johnson Sang by: Kenhut Youth Choir Gmail: aykenhut@gmail.com LYRICS Kila siku unaomba usiku na kukesha kwa sala ukimuomba Bwana Mungu aibariki kazi ya mikono yako watoa ahadi kwamba utampa kiasi pindi tu kazi ya mikono yako itakapozaa matunda Nadhiri isiyo timizwa kwa Mungu ni upumbavu ewe mwanadamu usiwe Anania na Sapphira walikosa toa ahadi kwa Mungu utamkufuru roho usipotimiza nadhiri yako kwake wewe wewe chunga usije mkufuru roho ukafa kifo kama cha Anania na Sapphira kanisani Nadhiri unayotoa kwa neno la ulimi wako ni ahadi takatifu ambayo lazima utaitimiza ahadi ni ahadi fuata mfano wake Yesu akisema atakubariki kwa wakati wake atatimiza