У нас вы можете посмотреть бесплатно MZEE FUJO ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUSHAMBULIWA KWA MAPANGA KWEREKWE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mzee Mussa Abdallah Musa, maarufu kama Musa Fujo, mkazi wa Mwera Skuli, Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, amenusurika kifo baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea maeneo ya Kwerekwe Kwa Kificho wakati Mzee Mussa akiwa njiani kuelekea katika shughuli zake za kila siku za kutafuta riziki. Inadaiwa kuwa wavamizi hao walimshambulia ghafla na kumsababishia majeraha makubwa kichwani na mkononi. Jeshi la polisi linatarajiwa kufanya uchunguzi zaidi ili kubaini wahusika na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.