У нас вы можете посмотреть бесплатно SIKU 100 ZA WAZIRI JERRY SILAA KAA LA MOTO KWA MAAFISA ARDHI,AWAMBIA "MSISUBIRI WAZIRI AJE ATATUWE" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maafisa ardhi nchini wamehimizwa kushughulika kutokomeza migogoro na dhuluma ya ardhi nchini kwani takwimu zimebaini migogoro mingi imesababishwa na watendaji wa sekta hiyo kujimilikisha ardhi kinyume na Sheria na taratibu za umiliki ardhi. Wito huo umetolewa na Waziri wa Ardhi Nyumba Maendeleo na Makazi Mhe. Jerry Slaa leo Dec 21, 2023 jijini Dodoma katika mkutano wa Waziri wa Ardhi Nyumba Maendeleo na Makazi, Menejimenti na Taasisi zilizo chini ya wizara hiyo uliokuwa na dhima ya tathmini ya Siku 100 za utendaji kazi wa Waziri huyo. Waziri Slaa amesema ni jukumu la kila mtendaji katika sekta hiyo kuhakikisha anakuwa chachu katika kutatua migogoro ya ardhi badala ya kusubiri jambo limfikie Waziri ndipo litatuliwe ili kuwafanya wananchi wajenge imani na wizara hiyo. Kwa mujibu wa Waziri Slaa amesema katika kipindi cha siku 100 amefanikiwa kufanya ziara katika mikoa 23 huku mikoa miwili ya Njombe na Manyara akipita kusalimia sawa na vijiji 965 ambapo pamoja na mambo mengine alikutana na kesi za Uvamizi wa maeneo ya watu, malalamiko na kuchukua hatua na mpaka kufikia sasa watumishi 13 wamesimamishwa kazi.