У нас вы можете посмотреть бесплатно TIMU YA OFISI YA WAZIRI MKUU YAKAGUA MRADI WA KITEGA UCHUMI JIJINI TANGA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Timu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu imefanya ziara katika Halmashauri ya Jiji la Tanga, yenye lengo la kukagua ili kujiridhisha utekelezaji wa mradi wa Jengo la Kitega Uchumi la Dr.Samia Suluhu Hassan bussines center lililopo Kange. Akizungumza katika ziara hiyo Mkurugenzi wa ufuatiliaji na tathmini kutoka Wirazara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Haji Janabi amesema kuwa timu hiyo imeridhishwa na mradi huo na kwamba ni mradi wenye manufaa makubwa kwa Halmashauri Pamoja na Wananchi. Nae Mkurugenzi wa Idara ya ufuatiliaji na Tathimini ya utendaji wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge na Uratibua Sakina Mwinyimkuu amebainisha kuwa mradi huo umeandaliwa vizuri kulingana na malengo yake ya kukuza uchumi wa Jiji la Tanga na kuwafanya wananchi waweze kunufaika na kuongeza kipato chao. Aidha Mwinyimkuu amesema uwepo wa miradi mingine karibu na kitega Uchumi ikiwemo Kiutuo kikuu cha Mabasi, Machinga Complex, Kituo cha Malori na Daladala kutapelekea kukua kwa uchumi wa wakazi wa Jiji la Tanga huku akiwakumbusha Wafanyabishara kuchangamikia fursa hiyo. Nae afisa Mipango Halmashauri ya Jiji la Tanga Calvin Munuo mesema kuwa mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2019 na kugharimu Zaidi ya shilingi bilioni 8, ambapo umekamilika kwa asilimia miamoja.