У нас вы можете посмотреть бесплатно TEKNOLOJIA YA KISASA KUWAVUTA VIJANA KWENYE KILIMO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Wakili Mary Gasper Makondo, amefungua mafunzo ya kozi za zana za kilimo na kilimo cha umwagiliaji katika Chuo cha Ufundi VETA Songea, ambapo amesema mafunzo hayo ni sehemu ya juhudi za serikali kuimarisha sekta ya kilimo kama nguzo kuu ya uchumi. Amesema matumizi ya zana bora za kilimo ni njia muhimu ya kuwahamasisha vijana kushiriki katika shughuli za kilimo akisisitiza kuwa kilimo ni ajira kubwa, kwani zaidi ya asilimia 70 ya wananchi wa wanajishughulisha na kilimo. Ameongeza kuwa mafunzo hayo yataleta mapinduzi makubwa katika kilimo kwa kuongeza ubunifu, ujuzi na mtazamo chanya wa wananchi katika uzalishaji. Ikiwa lengo kuu ni kumtoa kijana katika jembe la mkono na kumuwezesha kutumia teknolojia ya kisasa.