У нас вы можете посмотреть бесплатно UCHANGANUZI | TRA yaimarisha ukusanyaji wa mapato kupitia mfumo wa kisasa wa IDRAS или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema maboresho ya mfumo wa kielektroniki wa usimamizi wa kodi, IDRAS, yamechangia kuongezeka kwa idadi ya walipa kodi nchini. Akizungumza kuhusu mafanikio hayo, Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa TRA, Buluba Kanuda, amesema ongezeko hilo limetokana na ushirikishwaji mkubwa wa wananchi katika kulipa kodi pamoja na maboresho ya utaratibu wa makato ya kodi kwa waajiriwa. Ameeleza kuwa tofauti na ilivyokuwa awali ambapo baadhi ya waajiriwa walitegemea waajiri wao kushughulikia kikamilifu masuala ya kodi, mfumo wa sasa unamwezesha mwajiriwa kufuatilia na kuthibitisha malipo yake moja kwa moja, jambo lililoongeza uwajibikaji na uwazi.