У нас вы можете посмотреть бесплатно MAJIRANI WAMUUMBUA MWANAMKE ALIYEDANGANYA HANA PA KUKAA, HATUJUI ANATAKA NINI | MWENYEWE AOMBA RADHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Siku chache baada ya Mwanamke mmoja mkazi wa Kata ya Ng'ong'ona mkoani Dodoma akionekana katika mtandao wa kijamii akiomba msaada wa baada ya kudai mtoto wake kupata ulemavu baada ya kuwekwa kwenye jokofu na dada wa kazi na kukosa sehemu ya kuishi, sakata hilo limechukua sura mpya baada ya majirani na viongozi wa Dini kutokufurahishwa na taarifa hizo na kudai kuwa sehemu ya taarifa hizo hazina ukweli.