У нас вы можете посмотреть бесплатно VETA SHINYANGA YAONGEZA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA KUPITIA MAFUNZO YA UFUNDI STADI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chuo cha VETA mkoani Shinyanga kimeendelea kuongeza fursa za ajira kwa vijana kwa kuimarisha utoaji wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana ndani nan je ya nchi ili kuwawezesha kujiajiri na kuajiriwa, sambamba na kuchochea maendeleo ya uchumi wa Mkoa wa Shinyanga na taifa kwa ujumla. Akizungumza na waandishi wa habari ofisni kwake leo tarehe 02 march 2026 kuhusiana na mafanikio na fursa zinazopatikana mkuu wa chuo hicho Abraham Mbughuni amesema jitihada zote zinafanywa na VETA mkoani Shinyanga zinaendana na maelekezo ya Serikali kuhusu inayotoa kipaumbele kwa elimu ya ufundi stadi kama nguzo ya ajira na maendeleo.