У нас вы можете посмотреть бесплатно Huduma Kubwa ya Uinjilisti KKKT DKU - Chunya | Zaidi ya Makanisa 38 Kuezekwa | Mkuu wa Kanisa ndani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Eneza TV inakuletea mahojiano maalum na Mchungaji Dkt. Johnson Gudaga, msaidizi wa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kusini, akieleza kwa kina mpango mkubwa wa huduma ya uinjilisti itakayofanyika katika Jimbo la Chunya. Katika huduma hii takatifu, KKKT Dayosisi ya Kusini inalenga: 🔹 Kuwafikia watu kwa njia ya uinjilisti wa “mtu kwa mtu, nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa” 🔹 Kufanya mikutano ya wazi ya injili 🔹 Kutoa huduma ya uezekaji wa makanisa zaidi ya 38 Tukio hili litaongozwa na viongozi wakuu wa Kanisa: • Askofu Mkuu Dkt. Alex Gehazi Malasusa (Mkuu wa KKKT) • Askofu Dkt. George Mark Fihavango (Mwenyeji – Dayosisi ya Kusini) 🗓 Tarehe: 1 - 10 Agosti 📍 Mahali: Jimbo la Chunya, mkoa wa Mbeya Tazama maono ya Kanisa na namna ambavyo injili inaendelea kusonga mbele kwa vitendo! #KKKT #Uinjilisti #HudumaChunya #AskofuMalasusa #DayosisiYaKusini #EnezaTV