У нас вы можете посмотреть бесплатно TAHARUKI YATANDA MGAO MTWARA|MTU ALIYEZIKWA ADAIWA KUONEKANA AKIWA HAI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Taharuki imewakumba wakazi wa Kijiji cha Mgao, Halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Hamisi Ally Nassoro, kudaiwa kufariki dunia na kuzikwa kisha baada ya siku moja kuonekana akiwa hai. Tukio hilo limetokea Novemba 29, 2024 kijijini hapo, huku baadhi ya ndugu wakibaki na mshangao juu ya kisa hicho, wengine wakiamini kuwa aliyezikwa ni ndugu yao na hata huyo aliyeonekana akiwa hai naye ni ndugu yao. #KhomeinTvUpdates ✍️Juma Mohamed-Mtwara PIA USIACHE KU SUBSCRIBE CHANEL YETU Khomein TV YOUTUBE UWE WA KWANZA KUFIKIWA NA HABARI ZETU Follow Insta & Threads @khomeintv_ Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok @khomeintv na Facebook Khomein Tv