• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2 скачать в хорошем качестве

MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2 10 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2

Kwa karne nyingi watu hawa hawakuwa wakijulikana kama Wayahudi, bali walijulikana kama wana wa Israel (au wana wa Nabii Yakub) kama wanavyotajwa ndani ya Qur'an. Ni wale tu ambao walijitangazia utaratibu wa maisha unaofuata matakwa ya walimu wao wa Sheria, Mfumo ambao ndio wa Kiyahudi na wafuasi wake wakaitwa Wayahudi (yaani wafuasi wa dini ya Kiyahudi) Kabla ya ujio wa Nabii Isa (AS), Wayahudi waligawanyika makundi mawili. Kuna walioamua kuufuata utaratibu wa kuiheshimu Siku ya Sabato, amri iliyoachwa na Nabii Musa ndani ya Torati. Kundi hili ambalo ndilo kubwa likaitwa la Wasabian (Sabiin) ndani ya Qur'an. Na baada ya ujio Nabii Isa na kuondoka kwake, lilipatikana kundi jingine lililoitwa la Manasara (Wakristo) Lakini kuanzia karne ya 13, kwa ujumla walianza kuitwa Wayahudi kutokana na neno la Kirumi la Judea, lililomaanisha eneo walilopewa kukaa kabila moja la Yuda iliko Yerusalemu. Kabila hili miongoni mwa makabila 12, ndilo lililokuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa kujitawala kutoka kwa watawala wao Warumi. Hadi Mtume Muhammad (S.A.W) anahamia mjini Madina, tayari aliyakuta baadhi ya makabila ya Kiyahudi, yaliyokuwa yamelowea katika eneo hilo. Kuhamia kwa Wayahudi mjini Madina na sehemu nyingine za Waarabu kulitokana na sababu kadhaa na miongoni mwazo mbili ndizo huwa zinapewa umuhimu. Sababu ya kwanza, inasemekana kwamba Wayahudi walikuwa wanatarajia ujio wa Nabii mwingine atakayekuwa na nguvu ya kuwakomboa Wayahudi kutokana na kutawaliwa na Dola za kigeni, na kwamba kulikuwa na dalili katika maandiko yao, za Nabii yule kutokea katika nchi za Mashariki. Hivyo baadhi ya makabila ya Kiyahudi yalihamia mashariki katika ardhi za Waarabu wakidhani kuwa kama Nabii huyo atakapotokea basi atokee katika mojawapo ya kabila zile za kihamiaji. Sababu ya pili ni kwamba katika mwaka 70 AD, Jenerali wa Kirumi aliyeitwa Titus, alipigana na Wayahudi na kufanikiwa kuiteka Yerusalemu na hivyo kukomesha utawala wa Kiyahudi katika ardhi ya Wapalestina. Kufuatia hali hii wengi katika makabila ya Kiyahudi hawakupenda kutawaliwa wakihofia maisha yao, walikimbia na kuhamia katika nchi za Kiarabu na kuyakalia mabonde yenye rutuba kwa ajili ya kilimo na biashara. Kwa hatua hii wakawa walowezi katika nchi za Waarabu. Hadi mwanzoni mwa karne ya 7, makabila matatu ya Kiyahudi yalishaweka makazi yao mjini Madina, wakati ule ikiitwa Yathrib. Mji huu uliitwa Madina (Madinatun-Nabiy) baada ya ujio wa Mtume Muhammad (S.A.W) kwa heshima yake. Msuguano kati ya Waislam na Wayahudi, ulianza baada ya Mtume kuhamia Madina. Kadiri alivyoendelea kuwa maarufu na kukubalika kama Kiongozi wa umma, ndivyo ilivyozidi chuki ya baadhi ya Wayahudi dhidi yake. Kuna waliomkubali, na kuna wengine waliomkataa waziwazi na wengine kwa kujificha (wanafiki). Kwa kuwa Mtume alilenga katika kuijenga jamii yenye kufuata misingi ya amani, haki na usawa, Wayahudi walimuona kuwa ni tishio dhidi ya maslahi yao yaliyotokana na mufumo wao wa kinyonyaji. Pia kwa kuwa alikuwa ni Mtume, walikuwa wakimpinga na kuhojiana naye kutokana na kuzikosoa baadhi ya tafsiri za maandiko yao, wakisema hakuwa na maarifa juu ya mambo ya kiroho. Lakini kutokana na kushindwa kwao kuitoa kosa Qur'an, wengi wa Wayahudi wa Madina walimuona Muhammad kama Mtume wa kweli na kuamua kusilimu na kumfuata, licha ya wengine kuendeleza ubishi wao na mashaka. ......Sasa fuatana na Sheikh Suleiman Kilemile kutoka Tanzania, katika Mada hii inayowahusu Wayahudi...

Comments
  • MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 3 10 лет назад
    MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 3
    Опубликовано: 10 лет назад
  • Miujiza ya Mtume SAW - Sheikh Suleiman Kilemile 11 лет назад
    Miujiza ya Mtume SAW - Sheikh Suleiman Kilemile
    Опубликовано: 11 лет назад
  • Дорога Трампа - лед тронулся? С чем связана активность США? Рубен Меграбян 16 часов назад
    Дорога Трампа - лед тронулся? С чем связана активность США? Рубен Меграбян
    Опубликовано: 16 часов назад
  • Uislam na amani ya Ulimwengu - Sheikh Suleiman Amran Kilemile 10 лет назад
    Uislam na amani ya Ulimwengu - Sheikh Suleiman Amran Kilemile
    Опубликовано: 10 лет назад
  • SHEIKH KILEMILE-MWISHO WA MAISHA YA VIUMBE 10 лет назад
    SHEIKH KILEMILE-MWISHO WA MAISHA YA VIUMBE
    Опубликовано: 10 лет назад
  • Конечной целью войны был Сюник. Кочарян и Саргсян оставили ужасное наследие в обороноспособности 3 дня назад
    Конечной целью войны был Сюник. Кочарян и Саргсян оставили ужасное наследие в обороноспособности
    Опубликовано: 3 дня назад
  • Тайные переговоры Кремля и Белого дома о мире в Украине /№1045/ Юрий Швец 9 часов назад
    Тайные переговоры Кремля и Белого дома о мире в Украине /№1045/ Юрий Швец
    Опубликовано: 9 часов назад
  • Сила тюркских государств в единстве! Трансформация Центральной Азии | Теракт в Пакистане 3 дня назад
    Сила тюркских государств в единстве! Трансформация Центральной Азии | Теракт в Пакистане
    Опубликовано: 3 дня назад
  • Как генерал МВД зарабатывает на нелегальной миграции 22 часа назад
    Как генерал МВД зарабатывает на нелегальной миграции
    Опубликовано: 22 часа назад
  • Sheikh Suleiman Kilemile - Turudi katika DINI 5 лет назад
    Sheikh Suleiman Kilemile - Turudi katika DINI
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile - Part 3 11 лет назад
    Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile - Part 3
    Опубликовано: 11 лет назад
  • КТО ТАКИЕ ТУРКИ НА САМОМ ДЕЛЕ? Разгадка в ДНК 4 дня назад
    КТО ТАКИЕ ТУРКИ НА САМОМ ДЕЛЕ? Разгадка в ДНК
    Опубликовано: 4 дня назад
  • Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu vyake - Sheikh Suleiman Kilemile -Part 3 10 лет назад
    Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu vyake - Sheikh Suleiman Kilemile -Part 3
    Опубликовано: 10 лет назад
  • Sheikh Amran Kilemile - Tafsiri Ya Quran Suratul Kahf Aya Ya 102 - 110 6 лет назад
    Sheikh Amran Kilemile - Tafsiri Ya Quran Suratul Kahf Aya Ya 102 - 110
    Опубликовано: 6 лет назад
  • MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 1 10 лет назад
    MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 1
    Опубликовано: 10 лет назад
  • SHEIKH KILEMILE - UCHAGUZI MKUU NA AMANI YA TANZANIA 10 лет назад
    SHEIKH KILEMILE - UCHAGUZI MKUU NA AMANI YA TANZANIA
    Опубликовано: 10 лет назад
  • Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu- Sheikh Suleiman Kilemile - Part 1 10 лет назад
    Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu- Sheikh Suleiman Kilemile - Part 1
    Опубликовано: 10 лет назад
  • Sheikh Kilemile 10 лет назад
    Sheikh Kilemile
    Опубликовано: 10 лет назад
  • Hawatokuwepo Waislam wasio na Uislam - Sheikh Kilemile - Part 1 10 лет назад
    Hawatokuwepo Waislam wasio na Uislam - Sheikh Kilemile - Part 1
    Опубликовано: 10 лет назад
  • Հայկ և Բել․ Շրջան Հայկի։ Արթուր Արմին, 31․10․2025 2 недели назад
    Հայկ և Բել․ Շրջան Հայկի։ Արթուր Արմին, 31․10․2025
    Опубликовано: 2 недели назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5