• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua??? скачать в хорошем качестве

Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua??? 4 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua???
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua??? в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua??? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua??? в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua???

Uchunguzi wa hivi karibuni uligundua kuwa karibu theluthi moja (32%) ya wanawake walipata kiwango kilichopendekezwa cha uzito wakati wa ujauzito na wanawake wengi walipata uzito nje ya mapendekezo (21% kidogo sana, 48% zaidi). Kwa kawaida Uzito wa Mama Mjamzito unatakiwa kuongezeka kuanzia wastani wa kilo 11 mpaka kilo 12.7 kuanzia mwanzoni mwa Ujauzito mpaka kujifungua. Yani Miezi mitatu ya mwanzo Mjamzito anaweza kuongezeka kilo 1 hii ni kutokana na changamoto mbalimbali mwanzoni mwa Ujauzito, huweza kuongezeka kilo 5 na pia kuongezeka kilo 5 miezi mitatu ya mwisho ya Ujauzito hivyo basi kuanzia miezi minne mpaka miezi tisa Mjamzito huongezeka kwa wastani wa kilo 1 kwa kila mwezi. Ili kuweza kujua ongezeko la Uzito wakati wa Ujauzito ni lazima kuweza kujua uwiano wa Uzito na urefu wako ambapo kitalamu huitwa Body Mass Index (BMI) na kizio chake huwa ni Kg/M² Kulingana na Uwiano wa Uzito na Urefu wa Mama husika kuna aina nne(4) za makundi ya watu. Ambazo ni:- 1. Akina Mama wenye utapia mlo ambao BMI yao huwa chini ya 18.5kg/M². Endapo upo katika kundi hili unatakiwa kuongezeka Uzito kati ya kilo 12.7 mpaka kilo 18.2 tokea ulipo pata Ujauzito mpaka kujifungua. 2. Akina Mama wenye Uzito wa kawaida ambao BMI yao huwa kati ya 18.5kg/M² mpaka 24.9kg/M². Endapo upo katika kundi hili unatakiwa kuongezeka Uzito kati ya kilo 11.4 mpaka kilo 15.9 tokea ulipo pata Ujauzito mpaka kujifungua. 3. Akina Mama wenye Uzito mkubwa kupindukia ambao BMI yao huwa kati ya 25kg/M² mpaka 29.9kg/M². Endapo upo katika kundi hili unatakiwa kuongezeka Uzito kati ya kilo 6.8 mpaka kilo 11.4 tokea ulipo pata Ujauzito mpaka kujifungua. 4. Akina Mama wenye kiriba tumbo ambao BMI yao huwa kuanzia 30kg/M² au zaidi. Endapo upo katika kundi hili unatakiwa kuongezeka Uzito kati ya kilo 5 mpaka kilo 9.1 tokea ulipo pata Ujauzito mpaka kujifungua. #MamaAfya #Uzito #DrMwanyika

Comments
  • Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito) 2 года назад
    Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    Опубликовано: 2 года назад
  • Je Uzito kiasi gani Mjamzito mwenye Mapacha huongezeka Kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwisho??. 4 года назад
    Je Uzito kiasi gani Mjamzito mwenye Mapacha huongezeka Kuanzia mwanzo wa Ujauzito mpaka mwisho??.
    Опубликовано: 4 года назад
  • Je Mjamzito Utaongezaje Uzito WA Mtoto Aliyeko Tumboni Mwako? (Uzito WA Mjamzito/Mtoto Tumboni)!! 2 года назад
    Je Mjamzito Utaongezaje Uzito WA Mtoto Aliyeko Tumboni Mwako? (Uzito WA Mjamzito/Mtoto Tumboni)!!
    Опубликовано: 2 года назад
  • Je Mjamzito Mwenye Mtoto Mkubwa Tumboni Hutokana na Nini? (Sababu Na Athari Za Mtoto Mkubwa Tumboni) 2 года назад
    Je Mjamzito Mwenye Mtoto Mkubwa Tumboni Hutokana na Nini? (Sababu Na Athari Za Mtoto Mkubwa Tumboni)
    Опубликовано: 2 года назад
  • Je Mama Mjamzito mwenye Mapacha anaweza kujifungua wiki ya ngapi??. Uchungu wa kawaida huanza lini?. 4 года назад
    Je Mama Mjamzito mwenye Mapacha anaweza kujifungua wiki ya ngapi??. Uchungu wa kawaida huanza lini?.
    Опубликовано: 4 года назад
  • Je Mjamzito Unaweza Kupunguza Uzito Ktk Ujauzito Wako? | Madhara Ya Kupunguza Uzito Ktk Ujauzito! 1 год назад
    Je Mjamzito Unaweza Kupunguza Uzito Ktk Ujauzito Wako? | Madhara Ya Kupunguza Uzito Ktk Ujauzito!
    Опубликовано: 1 год назад
  • Je Kuharisha Kwa Mjamzito Husababishwa NA Nini??(Sababu 8 ZA Kuharisha Ktk Kipindi Cha Ujauzito)!. 3 года назад
    Je Kuharisha Kwa Mjamzito Husababishwa NA Nini??(Sababu 8 ZA Kuharisha Ktk Kipindi Cha Ujauzito)!.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Dalili za Mimba ya miezi sita (6) | Dalili za Mimba / Ujauzito wa Miezi Sita! 5 лет назад
    Dalili za Mimba ya miezi sita (6) | Dalili za Mimba / Ujauzito wa Miezi Sita!
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??. 3 года назад
    Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.
    Опубликовано: 3 года назад
  • НАДЕЖДИН: 11 часов назад
    НАДЕЖДИН: "Наши власти сильно напряглись - я видел". Что было с Наоко, кто при Путине, РЕГИОНЫ, мир
    Опубликовано: 11 часов назад
  • Je Dalili ZA Mtoto Kugeuka Tumboni Mwa Mjamzito NI Zipi? (Dalili 5 ZA Mtoto Kugeuka Ktk Ujauzito)! 3 года назад
    Je Dalili ZA Mtoto Kugeuka Tumboni Mwa Mjamzito NI Zipi? (Dalili 5 ZA Mtoto Kugeuka Ktk Ujauzito)!
    Опубликовано: 3 года назад
  • Mjamzito anatakiwa kula vyakula gani sehemu D (Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuwa nao??) 5 лет назад
    Mjamzito anatakiwa kula vyakula gani sehemu D (Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuwa nao??)
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Питание при кормлении грудью. Папам и бабушкам смотреть обязательно. 2 года назад
    Питание при кормлении грудью. Папам и бабушкам смотреть обязательно.
    Опубликовано: 2 года назад
  • Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)! 2 года назад
    Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    Опубликовано: 2 года назад
  • Je Dalili za Mimba ya Mapacha pekee hutosheleza kuonesha kuwa Una Mapacha Tumboni? | Nini ufanye?? 3 года назад
    Je Dalili za Mimba ya Mapacha pekee hutosheleza kuonesha kuwa Una Mapacha Tumboni? | Nini ufanye??
    Опубликовано: 3 года назад
  • Зачем банки это делают? Мы приближаемся к красной зоне риска || Дмитрий Потапенко* 17 часов назад
    Зачем банки это делают? Мы приближаемся к красной зоне риска || Дмитрий Потапенко*
    Опубликовано: 17 часов назад
  • Вопрос украинских территорий решён? / Зеленский едет на встречу 11 часов назад
    Вопрос украинских территорий решён? / Зеленский едет на встречу
    Опубликовано: 11 часов назад
  • Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi? 3 года назад
    Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    Опубликовано: 3 года назад
  • Новорожденный ребенок первый месяц жизни:  сон, уход, развитие, кормление и частота стула. 7 лет назад
    Новорожденный ребенок первый месяц жизни: сон, уход, развитие, кормление и частота стула.
    Опубликовано: 7 лет назад
  • 10 главных секретов естественного устранения резистентности к инсулину 3 года назад
    10 главных секретов естественного устранения резистентности к инсулину
    Опубликовано: 3 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5